Featured
Loading...

Exclusive~ Live Kutoka Makao Makuu ya CHADEMA,Ambapo Muda huu Edward Lowassa Anachukua fomu ya Kuwania Urais



Maandalizi yanaendelea vizuri naona mitaa yote ya Bongo DSM naona barabara zote maelufu kwa maelufu ya watanzania wanazidi kujitokeza kumlaki na kumpungia mkono wa baraka na heri kamanda mpya Eddo Lowasa.




Katibu Mkuu wa CDM ndugu Slaa anatarajia kumkabidhi fomu ya kuomba ridhaa ya wanachadema.


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KWA HABARI MOTO MOTO ZA TOWN | Designed By Code Nirvana
Back To Top