Featured
Loading...

Karibu TENA ucheki trailers na ratiba ya movies mpya leo July 31 zitakazoonyeshwa katika kumbi za cinema

.
.
Najua nina watu wangu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend inapofika, kama upo Dar es Salaam ama utakuwa ndani ya DAR leo, nimekusogezea hii ratiba ya movies na Trailers zake zote.
Location ni hizi mtu wangu; Mlimani City– ‘Cinema Century‘, Oysterbay pamoja naQuality Center.
Karibu ucheki hapa, chagua pa kukutana na watu wako muenjoy furahiday hii..
Survivor
Marvel’s Ant-Man
Inside Out
Paper Town
Pixels
Drishyam
Bajrangi Bhaijaan
Minions
rtttttttttttttttttttttttttttttttttttttt
.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KWA HABARI MOTO MOTO ZA TOWN | Designed By Code Nirvana
Back To Top