Featured
Loading...

EXCLUSIVEEEEEEE .......AUDIO IMENASWA, NUHU MZIWANDA AKIMTONGOZA WEMA SEPETU AWE MPENZI WAKE,SIKILIZA MISTARI YAKE SASA


Mazungumzo haya yamerekodiwa kwa siri  huku Nuhu akimtongoza Wema sepetu na kumtaka awe mpenzi wake, lakini Wema akaishia kukataa ombi la Nuhu kwa kuwa Wema anamuogopa Shishibaby ambaye ndie mpenzi wa Nuhu Mziwanda, na kuona Nuhu anataka kusababisha machafuko mapya katika media, habari kamili sikiliza hapo.


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KWA HABARI MOTO MOTO ZA TOWN | Designed By Code Nirvana
Back To Top