Featured
Loading...

Nakukutanisha na Video inayoashiria kuwepo mapenzini Jokate na Alikiba.

jojoMchana wa leo Aug 14 kwenye kipindi cha XXL kwenye kipengele cha You heard alisikikaAlikiba na ilikua ni baada ya kusemekana wazazi wa Jokate hawajawa tayari kumuozesha binti yao Jokate kwa sababu Alikiba muislam wakati Jokate ni mkristu.
jojo2Saa chache zilizopita mrembo Jokate amepost picha ikimuonyesha Alikiba akiimba kisha akaipa maneno ‘My Everything‘ picha hiyo imepata comment nyingi na comment nyingi zimwasifia kuwa wanaendana hivyo waweke wazi’
Hii ni video aliyopost Jokate.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KWA HABARI MOTO MOTO ZA TOWN | Designed By Code Nirvana
Back To Top