Featured
Loading...

PICHA KIBAO: MAFURIKO YA LOWASSA YAMIA MBEYA....HATARI TUPU

Za awali kutoka mbeya aliko lowasa sasa

Kutoka mbeya  hizi ni picha za awali kabisa za mapokezi ya mgombea wa UKAWA Edward lowasa wakati anaenda kutafuta wadhamini,Tizama hii.Picha nyingine zitakujia



Mgombea Urais wa UKAWA Kupitia CHADEMA Leo atakuwa Jijini Mbeya kwa ajili ya kutambulishwa na kusaka wadhamini.
Hapa kuna picha kadhaa za shamrashamra za wananchi wakimsubiri kwa hamu kubwa uwanja wa ndege wa Songwe.





      

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KWA HABARI MOTO MOTO ZA TOWN | Designed By Code Nirvana
Back To Top