Featured
Loading...

Sauti Sol na Yemi Alade wafanya wimbo pamoja nje ya Coke Studio.

Wasanii wanaopeperusha bendera ya Kenya kwenye muziki wa kimataifa Sauti Sol wameingia studio na Mnigeria Yemi Alade baada ya kukutana naye Coke Studio. Wimbo wa Yemi Alade na Sauti Sol unatayarishwa na Cobhams Asuquo.
Yemi Alade ameshafanya kazi na Jua Kali aliyokuwa Nairobi kwenye Coke Studio.
sauti 3 sauti 4 sauti 6 sauti

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KWA HABARI MOTO MOTO ZA TOWN | Designed By Code Nirvana
Back To Top