Marehemu
Manka Omari enzi za uhai wake. Inatisha! Kijana anayedaiwa ni denti wa
sekondari aliyetajwa kwa jina la Manka Omari (19), mkazi wa
Golani-Kimara jijini Dar, anadaiwa kuuawa kikatili kwa kuchinjwa na
kutolewa utumbo na watu wenye hasira kali akituhumiwa kupora simu kutoka
kwa mtu. Tukio hilo lililozizima maeneo hayo lilitokea usiku wa manane
wa kuamkia Agosti 31, mwaka huu ambapo awali inaelezwa kuwa Manka
alipoteza simu yake siku chache zilizopita lakini Agosti 30, aliiona
akiwa nayo mtu mwingine mtaani, akamnyang’anya baada ya kutoelewana,
jambo lililosababisha aitiwe kelele za mwizi.
Thursday, 3 September 2015
Post a Comment