Featured
Loading...

Lowassa Amkata maini Magufuli...Apata Mapokezi Makubwa yakushangaza Jimboni Kwa Magufuli Chato

Ukitaka kujuwa Magufuli ni mzigo kwa Ccm ni mkutano Lowassa aliofanya Chato leo.
Watu hawamtaki magufuli kila mtu lowassa na mabadiliko.
Ina maana kama Lowassa amepata ushindi mkubwa namna hii nyumbani kwa Pombe nani tena wakumzuia asiingie ikulu.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KWA HABARI MOTO MOTO ZA TOWN | Designed By Code Nirvana
Back To Top