Msanii
wa bongo fleva mwenye single ya ‘Hadithi’ inaoshika nafasi nzuri kwa
sasa kwenye radio na Tv amefurahishwa na kitengo cha mchumba wake
Shilole kuchora tattoo ya jina lake kwenye mkono wake kama aliyofanya
yeye takriban mwaka mmoja uliopita.
Thursday, 3 September 2015
Post a Comment