Featured
Loading...

D’banj ameanza kusaka collabo na wasanii wa Afrika,kaanza na huyu.

Casper Nyovest na D’Banj wamekutana Lagos Nigeria na wanampango wa kufanya kazi pamoja. Blog za Nigeria zimeripoti kuwa Casper ameshukia nyumbani kwa D’banj na wamekuwa pamoja kwa muda mrefu na wamefanya wimbo kwenye studi ya nyumbani kwa D’banj mjini Lagos.
Mipango ya kufanya video ya wimbo tayari imeanza kufanyiwa kazi.
IMG_3138 IMG_3139 IMG_3139-0 IMG_3140 IMG_3141 IMG_3142
Rafiki Na Shabiki Wangu, Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori Z

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KWA HABARI MOTO MOTO ZA TOWN | Designed By Code Nirvana
Back To Top