Featured
Loading...

Mengine ya Ali Kiba na Jokate haya hapa kwa Soudy Brown…kuna ndoa? #UHeard (Audio)


jojo  
Soudy Brown amepata tetesi kuhusu kuwepo kwa ndoa kati ya mastaa wawili Ali Kiba na Jokate, akaona asiliache lipite hivi hivi na kuamua kuzungumza na Ali Kiba kutaka kujua ukweli wa mambo. Ali Kiba amekanusha habari hizo kuwa si za kweli na hajawahi kulizungumzia jambo hilo kama taarifa hizo zinavyodai.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KWA HABARI MOTO MOTO ZA TOWN | Designed By Code Nirvana
Back To Top