Featured
Loading...

50 Cent, kuhusu nyumba yake Afrika na kuishiwa.

50-cent
Baada ya kutangaza kuwa nyumba yake mpya iliyoko barani Afrika inakaribia kukamilika, rapa 50 Cent anaendelea kuonyesha dunia kuwa ameishiwa.
50 Cent ameomba mahakama ruhusa ya kutoa pesa kwenye account yake ilikulipia bili za nyumbani kwake kama umeme,gesi, cable, Internet, watoa matakataka, simu na maji. Nyumba yake ipo  Connecticut.
50 Cent analipa zaidi ya dola $10,597 kwaajili ya umeme na gesi kwenye nyumba yake ya  Connecticut aliyonunua kutoka kwa Mike Tyson.
May mwaka huu Mtandao wa Forbes ulikadiria thamani ya 50 Cent kuwa ni  dola milioni 155.
50 cent 2
50 cent 1
50 cent

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KWA HABARI MOTO MOTO ZA TOWN | Designed By Code Nirvana
Back To Top