
No.1. Jennifer Lopez
Anautajiri wa dola milioni
$250 ,jinsi gani alipata hu utajiri,?? Nikutokana na uigizaji wake,
Mfanyabiashara na kazi yake ya uimbaji. J-lo ni mwanada maaraufu mwenye
maumbile makubwa ya makalio, ambayo yanafanya ashikile nafasi ya kwanza
kwenye orodha ya wanawake maarufu Hollywood. Inarepotiwa kuwa mataka
yake ameya weka bima ya dola milioni $27. Anapenda kujivunia kuonyesha
assets yake hiyo kwenye magazines cover ya Stuff magazine mwaka 2001.
Ambalo ni moja ya magazine iliyoweka histori ya rekodi ya gazeti lilouza
kuliko. Kiukweli hilo tako limegharimu maelfu ya dola na sio chini ya
hapo. Matako mengine ya nakuja na kuondoka lakini kwa Jlo atatumia kila
kitu kulinda tako lake. Lol

Anautajiri wa dola milioni
$35, jinsi alivyo upata huo utajiri, ?? utajiriwake umetokana , umodel,
uigizaji, mwanamkemfanyabiashara, Television Personality, na socialite.
Anachukuwa nafasi ya pili kuwa ni mwanamke mwenye Tako kubwa Hollywood,
nalilionekana sana kwenye s*x tape ambayo alikuwa nimmoja ya maboyfriend
wake maarafu sana. Naalishazushiwa kuwa matako yake ni yakutengeza
lakini yeye alikataa akasema no way its real.
3. Beyonce.

Anamiliki utajiri wa dola
milioni $300 milioni. Jinsi gani alivyotengeneza utajiri?? Dada huyu
anaingiza pesa zake kwa kuwa muandishi mzuri wa nyimbo, rekodi Producer,
muigizaji, umodel, mvumbuzi wa mavazi, na ni mfanyabiashara. Anajiita
“b**t-y-l-i-c-i-o-u-s” . Nahuyu anachukua nafasi ya 3 kwa kuwa na matako
makubwa Hollywood
No.4 Serena Williams

Anautajiri wa dola miliobi
$85, nautajiri wake unatokana na uchezaji wa Tennis as Professional. Na
nimaarufu kwa kwa kuwa na tako kubwa kwenye tennis, lakini kutoka kwa
serena mwnyewe anasema kuna mwanamke mwenye matako makubwa kuliko yangu
huko nje nikisimama nae ni aibu tu.
No.5 Nicki Minaj

Anautajiri wa dola milioni
$14 ambao umetokana na uandishi wa mistari yake na rapa, mwanadada huyo
anapenda sana kuongelea kuhusu tako kila wakati, hata kwenye interview
iliotokea New York post Nicki Minaj alikuwa anaongela kuhusu ruma za
utengezaji wa matako yake. “absolutely not” said Nicki Minaj alipokuwa
anaulizwa kuhusu matako ya kutengeneza , “people will pick anything to
talk about , and that happens to be the thing at the moment’’. Alisema
Nicki Minaj.
No.6 Vida Guerra
Anautajiri wa dola milioni
2.5 na amazitengeza kupitia kazi yake ya umodel. Wakati hajulikani kama
wanawake wengine waliopo kwenye orodha yetu, Nyuma kwa Vida kunamilikiwa
na dunia, alishinda FHM’s Best B*tt , kwenye the world award na sio
mara moja. Ni model, muimbaji na mwigizaji lakini anajivunia kwa
kujilikana kwa umbo la mwili wake. Kiukweli ameshinda tuzo ya best b*tt
mara mbili .
No.7 Nicole “Coco” Austin

Anautajiri wa dola milioni 4
kutokana na umodel, reality Tv Personality , web personality. Hakuna
wasi wasi wowote kuwa Mke wa Ice T , Nicole Coco Austine anajivunia
mwili wake sana. Anapenda kupost picha za makalio yake sana kwenye
Twitter,
No.8 Buffie Carruth

Buffie Carruth vile vile
anajulikana kwa jina la Buffie The Body or simply Buffie, ni model
kutokea Athens, Georgia anajulikana kunekana kwenye posing za hip hop
zinaendana na magazine na kuonekana kwenye video za hip hop. Shukuru kwa
model kama Buffie The Body the Big Booty” comple imefagia Us nzima nao
inelekea to getting out of control.
No.9 Jessica Biel

Anautajiri wa dola milioni $
18 , amepatamafanikio hayo kwa kuwa muigizaji, model na mwimbaji ,
anachukua nafasi ya 9 kwa kuwa na makalio makubwa kwa wanawake maarufu.
Alianza kucheza kwenye tv kama mtoto wakike wa muhubiri. Lakini umaarufu
wake ulitoke bada yakupiga picha ya utupu kwenye Gear Magazine akiwa na
umri wa miaka 17.
10. Sofia Vergara

Anamiliki utajiri wa dola
milioni 14, na utajiri huo unatokana na uigizaji, modeling , mtangazaji
wa television na mjasiriamali. Ni muigiza wa modern family amefungasha
kila mahali. Ni mdada mwenye kipaji, mzuri na ana makalio mazuri yenye
mvuto sana. Ame shikilia namba tatu kwenye Askmen.com 99 Most Desirable
Women wa 2011
11.Melyssa Ford

Anamiliki wa dola milioni
2. Na utajiri huo umetokana na uigizaji na umodeling , anashikilia
nafasi ya 11 kwa kubarikiwa na tako nzuri. Kiukweli anajulikana kuwa
naumbo zuri lenye mbinuko. Ameonyesha anavyotingisha matako yake kwenye
vido ya Jay-Z, Ghostface killah, na Mystikal, anajulikana mwanamke
mweusi mzuri sana duniani.
No.12 Eva Mendes

Anamiliki utajiri wa dola
milioni 12. Ambazo amazitengeza kwa kazi zake za uigizaji, model,
uimbaji na ububifu. Eva Mendes maumbile yake yanaweza kumbadilishi shoga
kuwa mwanaume waukeli, eva aliamuwa kutikisa dunia baada ya kutoka
kwenye Peta akiwa mtupu. Kampeni ilifanyika rockeffeller Plaza. Like
mamlaka ya jiji ili waambia waandaji wasi to mda kamili au sehemu
itakapofanyika maana walikuwa wanaogopa kutengeneza Mob scene.
No.13 Halle Berry

Anamiliki utajiri wa dola
milioni $70 , ambazo zinatokana na uigizaji , na ni former model
anachukua nafasi ya 13 kwa kuwa na makalio makubwa holly wood. Na
kucheza kwake kwenye movie ya swordfish na monster’s ball imemfanya
halle Berry’s kutikisa Hollywood na kwenye orodha yetu anatinngisha pia
kwa kuwa na makalio makubwa ndani ya Hollywood.
No.14 Scarlett Johansson.

Anautajiri wa dola milioni
35 ambazo amazitengeza kutokana na uigizaji wa movie. Anachukua nafasi
ya 14 ya wanawake wenye makalio makubwa Hollywood, anamwili wenye mvuto
sana kwenye big scree, ana anajivunia kuwa nao, na haya ni maneno yake.
“im curvy-I’m never going to be 5’11 and 120 pounds” “ but I feel lucky
to have what I have got” na tunafurahia kumuangalia lol
15. Shakira

Anautajiri wa dola milioni
140 ambazo amaezitengeza kwa kuwa mwimbaji, na mtunzi mzuri wa nyimbo na
record producer. Hakukosea kusema Hips don’t lie na hata makalio yake
vile never lie. Alichukua nafasi ya tatu kwenye Vote poll ya dunia ya
best butt. Ya mtandao wa WENN.com. shakira alifunika kwenye album
Laundry Service na kutingisha makalio yake juu ya stage



Post a Comment